Envaya

/IAVC/topic/22876: English

BaseEnglish
Napenda kuzungumzia swala nzima linalozikabili asasi mbalimbali Nchini la kukosa majengo ya kudumu. Swala hili limekuwa tatizo kwa asasi nyingi hapa Nchini na kupelekea asasi nyingi kushindwa kufanya shughuli zake kwa ubora unaotakiwa, ukizingatia wafadhili wengi hivi sasa awatowi pesa kwa ufadhili wa ujenzi majengo ya ofisi. Je, swala hili mnafikiri nini kifanyake ili kukabiliana na tatizo nzima la majengo ya kudumu kwa asasi? Naomba mchango wa mawazo katika...I would like to discuss the whole issue linalozikabili organizations In the lack of permanent buildings. This issue has been a problem for many institutions in the country and leading many organizations fail to make its activities to the quality required, given most donors now awatowi money for financing construction of office buildings. Do you think what this issue kifanyake to deal with the whole problem of building lasting institutions? Please input the ideas...Edit
@Timothy W. Philemon (Zanzibar): – Timothy umewaza vizuri saana juu ya kuwa na jengo la mashirika , ila tatizo Tanzania hadi sasa hatuna Mtandao wetu ambao utatuwakilisha ndani na nje ya nchi. kwanini nasema hivi tuliitegemea saana TANGO na NACONGO lakini mabo yapo kimya saana juu ya hili. FSC, UNGO na Mtandao wa Mkoa wa Arusha walianza safari ya kuanzisha mtandao/Apex kwa lengo la kuwa Mtandao wa NGO zote Tanzania hata hivyo shughuli hizo ziliishia na...@ Timothy W. Philemon (Zanzibar): – Timothy was well thought saana on a building for organizations, but the problem is now Tanzania to have our network which represents inside and outside the country. why I say we depend saana TANGO and NACONGO but ideas are silent on this saana. FSC, NGO Network Arusha Region started the journey of establishing a network / Apex for the purpose of a network of NGO both Tanzania however such activities ziliishia and...Edit
Awali yote napenda kuomba radhi kwa kuchelewa kujibu. Kuhusu suala la jengo kwa ajili ya kufanyia. Sasa tunafanya nini ili tuweze kutatua tatizo hilo. Naomba muongozo wenu ili tuweze kuona uwezekano wa kusaidiana katika suala hii ambalo lime zikabili asasi hapa nchini kwetu.(Not translated)Edit
Kwanza samaani sana kwa kuchukuwa mda mrefu kujibu taarifa yako. Nashukuru sana kwa kunielewa. Mimi nafikiri mda umetimia wakuanganisha nguvu zetu ili tuweze kutatua kwanza swala la majengo ya ofisi ya kufanyia kazi. Tuendelea kufanya ushawishi kwa mashirika mengine yatuunge mkono katika wazo letu. Asante sana kwa mchango wako. kwa pamoja tunaweza. @Modest J.Mkude (Morogoro-WEETU):Samaani very first take a long time to respond to your report. Thanks so much for misunderstand. I think the time has come wakuanganisha our strength so that we can solve the first issue of office buildings to work. Then continue to influence other organizations yatuunge hand in our idea. Thank you for your input. together we can. @ Modest J.Mkude (Morogoro-Neetu):Edit
Jengo la kudumu kwa asasi mbalimbaliPermanent building for various institutionsEdit
AMAMEdit
{date} at {time}{date} at {time}Edit
(edited {date})(edited {date})Edit
MarchMarchEdit
MayMayEdit
JuneJuneEdit
SeptemberSeptemberEdit
PMPMEdit
[hour12]:{minute} [ampm][hour12]:{minute} [ampm]Edit
{time} {tz}{time} {tz}Edit