Napata taabu sana kwa kuona mashirika mengi ya Tanzania ukiacha yale yanayotetea haki za wanawake na walemavu ndio wanakuwa kipaumbele linapotokea tatazo ndio ulifatilia lakini baadhi ya mashirika mengi inapotokea matatizo mbalimbali katika jamii uwa hayajitokezi kuzungumzia swala lolote au tunasubiri hadi tuingiziwe Ruzuku ndio tunafanya kazi. – ukiangalia baadhi ya mashirika mengi yamekuwa kama vile baadhi ya vyama vya siasa kipindi cha uchaguzi uwa motomoto kikiisha tu... | (Bila tafsiri) | Hariri |