Tuna matamanio makubwa ya kuwapata kuku bora wa kienyeji ili kuwafuga kwa njia za kisasa ili kujiongezea kipato na pia kuboresha ulaji na lishe.Tunaomba kujua kwa mapana kuhusu juu ya swala hili toka kwa yeyote mjuzi kupitia majadiliano haya ya kimtandao. | We have a huge desire to get the best of local chickens to modern culture in a way to increase their income and also improve the intake and lishe.Tunaomba know extensively about the issue from any discussion of knowledge through these online. | Edit |