Envaya
/MWELA/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Wakazi kutoka jimbo la bumbuli wakiwa katika mkutano wa kujadili maendeleo ya ya Bumbuli
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mzee yusuphu makamba akiwa na mkewe wakiwa katika mkutano wa wakazi wa jimbo la Bumbuli waishio Dar na Pwani juu kujadiliana maendeleo ya jimbo lao
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – baadhi ya washiriki wakishuka katika gari wakiwa tayari kuelekea ukumbi wa Mkutano
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mzee Yusuphu Makamba akiwa na Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mzee Yusuphu Makamba akiwa na Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mkurugenzi wa shirika la Bumbuli Bw. Najim Msenga (kushoto), mwenyekiti mteule wilaya ya Bumbuli Bw. Amiri Sheiza (kulia)katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Bw. Loth Ole Lemeirut (katikati)wakijadiliana jambo mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo leo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mratibu wa Chama cha maendeleo ya kiuchumi na Kijamii vuga (CHAMAKIVU) Jumaa Dhahabu akiwa na shehe wa Kata ya Vuga Jimbo la Bumbuli wakiwa eneo la Mkutano
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Bw. Loth Ole Lemeirut (kushoto)na mwanakamati wa shirika la Bumbuli Bw. Naaman Shauri wakifuatilia kwa umakini mada iliokuwa ikiendelea katika mkutato huo
(Bila tafsiri)
Hariri