Injira

/lati/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Life Skills training class. (image) (image) (image)(Not translated)Hindura
We thanks for those who donate for the school supplies for these children.May God bless them.Tunawashukuru wale wote waliochangia vifaa hivi kwa ajili ya maendeleo ya elimu kwa watoto hawa.Mungu awabariki na kuwaongezea pale palipo pungua kwa ajili ya watoto hawa. (image) (image)(Not translated)Hindura
Thanks to Mr.Mashala from LGTI who donate 100,000Tzs every month for these kids to have porriage at school.May God Bless him,his family,his work,his livestock,his farms and workers.They still need a class as you can see they are outside.DONATE:lati.tanzania@yahoo.com.Tunamshukuru Bw.Mashala kwa kuchangia 100,000Tzs kila mwezi kwa ajili ya kuwapatia watoto hawa uji wakiwa shuleni.Mungu ambariki yeye na familia yake,kazi yake ,mashamba yake ,mifugo na wafanyakazi...(Not translated)Hindura
Computer class at LATI Training Centre for out of school youths.Darasa la computer kwa vijana walio nje ya shule katika kituo cha mafunzo LATI. (image) (image)(Not translated)Hindura
Tailoring class at LATI Training Centre for those who did not get the chance for secondary education.Hili ni darasa la ufundi wa kushona nguo katika kituo cha mafunzo LATI kwa watoto ambao hawajafanikiwa kuendelea na elimu ya sekondari. (image) (image)(Not translated)Hindura
English Class. (image) (image) (image)(Not translated)Hindura
Life Skills Class. (image) (image) (image)(Not translated)Hindura
Youths in their daily activities at LATI Training Centre.Vijana wakiwa katika mafunzo yao ya kila siku katika kituo cha mafunzo LATI.Vijana hawa wanafundishwa shughuli mbambali ambazo zitawasaidia kujiajiri. (image) (image)(Not translated)Hindura
Volunteer from Local Government Training Institute(school of Community Development) handover the pensils to the children at Maji ya Moto nusary school in Masware Village.She visited another school to see the toilets for nusary school pupils,it is horrible,they need some help.The problem of toilets in many primary schools it is a big problem.Donate lati.tanzania@yahoo.com (image) (image) (image) ...(Not translated)Hindura
Left is our (MP)Hon.Jitu Soni.The government through him donate for us sewing machines for Tailoring Project for out of school girls and boys.Mh.Soni akikabidhi cherehani ambazo zimetolewa na serikali kupitia mfuko wa jimbo. (image)(Not translated)Hindura