Envaya
/dtg/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Dira Theatre wakicheza Ngoma ya Zanzibar (Chasso) katika Maandalizi ya Mwisho ya Kujiandaa na Sherehe za Uzinguzi wa mbio za Mwenge, Uwanja wa Jamhuri Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Meneja wa Dira akieleza jambo kwa mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji (hawapo pichani) katika zoezi la ufuatiliaji wa shughuli za mradi wa sera na sheria za ardhi zilizoendeshwa na Dira.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Dira Theatre wakiwa katika pozi baada ya kuburudisha katika siku ya wakulima kitaifa 8-8. Morogoro Mjini
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Dira Theatre wakitumbuiza katika viwanja vya ikulu ndogo Morogoro Mjini, katika ziara ya waziri mkuu wa Tanzania.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Meneja wa Dira Ndg. Erasmo Tullo akizungumnza na baadhi ya wanachama wa Dira. Hii ni katika Ofisi ya Dira iliyopo kata ya Mafiga, Morogoro Manispaa.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Wasanii wa Dira Theatre wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuburudisha katika funguzi wa siku ya wakulima kitafifa 8-8, MOrogoro Mjini
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Kikundi Dira Theatre wakipiga ngoma za kuburudisha katika ufunguzi wa siku ya wakulima kitaifa 8-8, Morogoro Mjini
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Dira Theatre wakicheza ngoma ya kikabila katika viwanja vya 8-8 katika ufunguzi wa maonesho ya siku ya wakulima kitaifa.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Dira Theatre wakiwa katika maandalizi ya Uzinduzi wa mbio za Mwenge Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Maandalizi ya mwisho ya kujiandaa na uzinduzi wa mbio za Mwenge Uwanja wa Jamhuri Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri