KWA NINI TUNAHITAJI USHIRIKI WA MWNAMKE KATIKA KATIBA MPYA? – Kwa kuwa tunahitaji katiba itakayokidhi matakwa ya mwanamke na mwanaume ,hivyo ushiriki wa makundi yote haya kwa uwiano sawa ni muhimu ili kuleta mabadiliko ya kweli na kupata katiba itakayosimamia usawa, haki ,utu na heshima ya wananchi wake bila kujali jinsia. – Kutokana na changamoto hii na kwakuzingatia idadi ya watanzania inayoonyesha kuwa... | Why do we need MWNAMKE PARTICIPATION IN THE NEW CONSTITUTION? – For that we need a constitutional requirement itakayokidhi man and woman, so the participation of all these groups in equal proportion is necessary to make a real difference and get itakayosimamia constitutional equality, justice, dignity and honor of its citizens regardless of gender. – Due to this challenge and kwakuzingatia number of Tanzanians showing that women have a large... | Edit |