Base (Swahili) | English |
---|---|
HONGERA SANA NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT, Katika kufanikisha malengo ya ziara ya asasi ya save my talent mikoani ambapo leo hii shirika la SAVE MY TALENT lilipotembelea shirika la NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT lililopo mkoani KIGOMA,ambapo ushirikiano ulikua mkubwa sana na tumefanikiwa kukutana na idadi kubwa sana ya wasanii,wenye uwezo mkubwa sana |
Congratulations NYAKITONTO EXTREME FOR YOUTH DEVELOPMENT, In order to achieve the objectives of the visit to the institution save my talent regions where today this organization SAVE MY TALENT lilipotembelea agency NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT available in Kigoma, where the partnership grew enormously and we have managed to meet a very large number of artists, with enormous potential |
Translation History
|