About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/TYNF/news
: English
Base
English
supportive mentorship visits – write the way you conducted and the community perception.
(Not translated)
Edit
kupitia CHF cards watoto wameweza kupata huduma ya matibabu kwa urahisi,vilevile wazazi na walezi wamehamasika kuwa peleka watoto wao katika vituo vya afya kupata huduma.
through CHF cards children can get medical care easily, as well as parents and guardians have alerted send their children to health centers services.
Edit
mahudhurio ya wananchi yatakua mazuri zaidi endapo tutawafuata kwenye kata zao na si kuwakusanya sehemu moja – management iangalie uwezekano wa kufanya ipg meeting kwa kila kijiji na si kwa kila kata kama ilivyo kwa sasa ili kuwapa wananchi nafasi ya kuelezea mawazo yao kutoka katika bijiji vyao na si kwenda katani
attendance of the public will be better than if we followed them to their county and not to gather in one place – management to look at the possibility of making ipg meeting every village and not in each county as it currently is to give citizens the opportunity to express their thoughts from their bijiji not go hemp
Edit
CHF card zimetolewa 400 kwa kaya 400 wakati wa utekelezaji wa mradi wa jali watoto,kila card 1 inahudumia watoto 4 katika kaya – -masaada wa kadi za matibabu umeendelea kuwa saidia watoto wengi kwa upande wa matibabu pia imeraisisha upatikanaji wa huduma wakati (pindi) watoto wanapo itajihuduma za kiafya
Card issued CHF 400 per 400 households during the implementation of a project concerned with children, each card a fourth serves children in the household – -Aid medical cards has helped many children continue to be in terms of treatment and also imeraisisha access time (when) when children itajihuduma health
Edit
i – Please note that activities that were not completed in the last reporting period have to be carried forward to next work plan unless there are justifiable reasons for dropping them out) – 1 – Objective1: Increase community ownership and capacity to implement...
(Not translated)
Edit
baadhi ya vijiji vipo mbalimbali sana hivyo watu wengi wanashindwa kukutana katika eneo moja.. – -marekebisho ya ratiba yafanyike ili kwa wakati mwingine tuweze kufika ngazi ya vijiji na sio kata pekee – e)nimejifunza kufanya kazi kwa kushirikiana na jamii pia kubadilika kulingana na utamaduni wa jamii moja au(ama) nyingine – f)marekebisho ya ratiba .... – g)ratiba izingatie umbali wa eneo husika kulingana na jografia ya eneo la mradi ...
some villages exist very different so many people fail to meet at one place .. – -Adjustment of the schedule to be done so that we can sometimes arrive at the village level and not only cut – e) I have learned to work collaboratively with communities also change according to one culture or society (or) other – f) amend the schedule .... – g) The schedule should consider the distance of the area according to the geographical area of...
Edit
kutokana na jiographia ya wilaya yetu ya sikonge baadhi ya kata vijiji vyake vipo mbalimbali sana kwahiyo si rahisi wananchi kukutana kwenye kata moja. mfano kijiji cha matagata kipo mbali sana, – ipg meeting ifanyike kwa kila kijiji ili kuweza kutoa nafasi ya watu kutoa maoni yao wakiwa katika vijiji vyao
from our district jiographia I cut sisal some villages exist very different so it is not easy to meet people in one county. matagata model village is very far away, – ipg meeting may be done for each village in order to provide an opportunity for people to express their views while in their villages
Edit
vijiji vingi vipo mbalimbali.. hii imesababisha watu wengi kushindwa kukutana katika eneo moja kutokana na umbali wa maeneo husika – d)ratiba ifanyiwe marekebisho kwani kutokana na umbali wa maeneo watu wengi wamekuwa wanachelewa kufika katika mhutano...hii inasababisha mkutano kuchelewa kuanza pia kuchelewa kwa shughuli nyingine – h)jamii imeelewa malengo ya mradi wa pamoja tuwalee pia imeahidi kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi ...
exist many different villages .. This has led many people fail to meet in one location and distance from the respective areas – d) a schedule for supervision made adjustments due to the distance of many sites have been late to arrive at the meeting mhutano ... this causes delay in starting too late for other activities – h) imeelewa community project with the objectives of tuwalee also pledged to cooperate during the whole period of project implementation ...
Edit
kushawishi na kuihamasisha jamii kuhusu ushiriki wao katika mradi wa pamoja tuwalee – wananchi bado wanauelewa mdogo kuhusiana na mradi wa pamoja tuwalee, wao wanadhani ni jukumu letu sisi maafisa kuwaleawwkmh – elimu zaidi iendelee kutolewa ili watambue kuwa ni jukumu letu wote kuwalea kama mradi wenyewe unavyo jieleza. – wananchi hawapo serious katika kutambua majukumu yao ya kuwalea na kuwahudumia watoto waishio katika mazinfira hatarishi ...
kuihamasisha lobby and the community about their participation in the joint venture tuwalee – citizens are still poor understanding about the joint venture tuwalee, they think it is our responsibility we officers kuwaleawwkmh – further education will continue to be aware that all care is our responsibility as the project itself is described. – citizens are not serious in recognition of their role in nurturing and serving children living in risky...
Edit
suppotive mentorship visits – wrte the way you conducted and the community percepton.
(Not translated)
Edit