Envaya
/hakielimu/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
@lilianruga @Udadisi Wanaotaka kiasi kilichopo wabaki wasiotaka waende huko watakapopewa kiasi wanachotaka- JK
(Bila tafsiri)
Hariri
@RNMsuya Basi ni muhimu kila mmoja kutimiza wajibu wake ! Wananchi na Serikali ili tuweze kusogea toka tulipo
(Bila tafsiri)
Hariri
Mabilioni ya fedha yamerudishwa nchini kutokana na fedha zetu zilizotumika kisivyo halali kununulia rada, fedha... http://t.co/zXEtp2yp
(Bila tafsiri)
Hariri
Hili Tulilipigia kelele sana katika kampeni zetu za uwazi na uwajibikaji serikalini ! Kilichobakia wananchi ni... http://t.co/1MR1YaqB
(Bila tafsiri)
Hariri
"Good government is not a luxury - it is a vital necessity for development"
(Bila tafsiri)
Hariri
@RNMsuya Una wajibu wa kurejesha mkopo ili wengine nao waweze kusoma, lakini wajibu wa huduma za jamii ni wa serikali au hulipi kodi wewe
(Bila tafsiri)
Hariri
@lilianruga Yap yap TBC1
(Bila tafsiri)
Hariri
Muwe na moyo wa huruma na upendo na msaada kwa wagonjwa kama kiapo chenu kinavyowataka - JK
(Bila tafsiri)
Hariri
Hotuba ya Mkuu wa Nchi TBC kwa wale tulioingoja jana usiku mpaka saa sita haya sasa
(Bila tafsiri)
Hariri
@MariaSTsehai @Irenei2011 Hiyo kali kwa hiyo tunaangalia edited version hahahaha kaka mkuu atakuwa aliambiwa action , cut , one two three
(Bila tafsiri)
Hariri