Base (Swahili) | English |
---|---|
chawaumavita ni mshiriki wa kongamano la kimataifa kuhusu birth defects international conference birth defects 2015 linaofanyika katika hoter ya Serena kuanzia tarehe 21.09.2015 hadi 24.09.2015 Mgeni rasmi alikuwa mh makamu wa Raisi Dr Mohammed Gharib Bilal ambaye aliufungua rasmi jana jumatatu 21.09.2015. |
(Not translated) |