wanafunzi wanaosoma Boza nawashauri msome kwa bidii kwani elimu mnayoipata itawasaidia maishani mwenu jitahidini katika masomoya ufundi yatawatoa kimaisha mnao waalimu wa ufundi wazuri na mazingira ya shule ni tulivu hakunavishawishi someni kwa bidii .[1994 at Boza sec.school] | (Not translated) | Hindura |