Envaya

/top-tanzania/news: English: WIYEHmLthCJe0wkSoObjwr6D:content

Base (Swahili) English

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI WILAYA YA  MULEBA- KAGERA

 

Shirika la Kwa wazee Nshamba Muleba kwa kushirikiana na Wazee ,walengwa liliadhimisha siku ya Wazee Duniani yaani tarehe 1 OTOBA 2012.

 Siku hiyo ilikuwa ya vifijo shangwe na nderemo kwa wazee wa kata saba za wilaya ya MULEBA na wanajamii waishio maeneo ya kata Nshamba, wajukuu wanao tunzwa na Wazee na wafanyakazi wa shirika, pamoja na wageni walioalikwa .

 Ikiwa ni mwaka wa nne kuadhimisha sherehe hizi , sherehe hiyo ilihudhuriwa na wazee wapatao 650 robo tatu yao wakiwa ni Wazee wanaopata pensheni toka shirika la Kwa Wazee.

 Michezo mbali mbali pamoja na nyimbo na risala vilivyoandaliwa na Wazee vilibeba ujumbe unaohusu maisha ya Wazee na changamoto wanozokumbana nazo, kama vile kutopatiwa matibabu bure,  mzigo wa kulea na kutunza wajukuu, umaskini kwa wazee,na ukatili wanaofanyiwa Wazee lakini pia   kuiomba serikali kutoa pensheni kwa wazee wote ili kuboresha maisha yao kama ambavyo nchi nyingine   zimeweza kufanya.

 Akijibu risala hiyo, aliyekuwa mgeni rasmi katika madhimisho hayo Mhe Nashon Kababaye katibu tawala wilaya kwa niaba ya mkuu wa wilaya,

Aliwapongeza wazee kwa kuona umuhimu wa kuadhimisha sherehe hiyo pia aliupongeza uongozi wa Kwa wazee kwa jitihada zao za kuboresha maisha ya wazee hapa wilayani Muleba.

 Mgeni rasmi alikemea   vitendo vya ukatili kwa wazee na kuwataka waganga wote   wanaopiga ramli   kujisajiri kabla ya mwaka 2013 vinginevyo watakamatwa maana ndio wanaochangia vitendo hivyo.

 Pia mgeni rasmi alisisitiza na kutoa rai kwa wazee kuwa ni haki kwao kupatiwa matibabu bila malipo hivyo iwapo kutajitokeza utata alitoa namba za simu ili taarifa zitolewe  ili uongozi uhusike kuwapatia  ufumbuzi. Kuhusu pesheni kwa wazee wote   alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa upo uwezekano wa kulipa pensheni kwa wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea.

 Aliomba ushirikiano na uwazi kwa matukio ya ukatili pindi yanapojitokeza ili kusaidia  

ufuatiliaji na kuwawajibisha wahusika. Aliwaomba wao pia, wawe na uchungu kwa maisha yao na mali zao.

 Naye kaimu mratibu wa shirika la kwa wazee , Ndg Edmund Revelian aliwapongeza na kuwashukuru wazee na wageni wote kwa mwitikio wao , katika maadhimisho hayo muhimu. Aliwaomba wanajamii na serikali kuuthamini uzee, kwani uzee si hiari bali ni hatua ambayo kila mmoja ataipitia.

 

 

ELDERS DAY CELEBRATIONS OF WORLD DISTRICT Muleba-Kagera

Agency for elderly Muleba field in conjunction with the Elders, targeted liliadhimisha the World Elders Day on October 1st of 2012.

That day was a joy and comfort to the applause of the county's seven elders Muleba districts and communities living in areas of the county farm, grandchildren who cared for the elderly and the staff of the organization, as well as invited guests.

If this is the fourth year of celebrating these festivals, the ceremony was attended by about 650 elderly three-quarters of them are elderly who receive pensions from the agency for the elderly.

Automotive far away with the songs and the messages arranged by elders carried the message about the lives of the elderly and challenges wanozokumbana them, such as kutopatiwa free medical care, the burden of raising and caring for grandchildren, the poverty of the elderly, the cruelty done to the elders but also asked the government to provide pension All elderly to improve their lives just as other countries have been able to do.

Responding to digest it, who was the guest of honor at the Hon Nashon madhimisho Kababaye district secretary ruling on behalf of the head of the district,

Aliwapongeza elders to see the importance of celebrating the ceremony was also commended for the leadership of the elders for their efforts to improve the lives of older people here Muleba district.

The guest of honor was denounced acts of cruelty to the elderly and those who call asking physicians arrows before the year 2013 kujisajiri otherwise be arrested for the ones who contributed acts.

  Also guest stressed and to call for the elders that are right for them to get treatment free of charge so if happens controversy gave phone numbers to information given to vulnerable leadership to give a solution. About Pension Funds all the elders said it was the responsibility of government to ensure that there is a possibility of paying pensions for the elderly aged 60 years and older.

  He asked for cooperation and transparency in cases of violence when comes to help

monitoring and discipline the perpetrators. He asked them too, have pain in their lives and their property.

And the acting coordinator of the elderly, Edmund Ndg Revelian congratulated and thank all visitors for the elderly and their response in this important celebration. He asked members of the community and government kuuthamini aging, since aging is not an option but a step that everyone will review.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
November 3, 2012
ELDERS DAY CELEBRATIONS OF WORLD DISTRICT Muleba-Kagera – Agency for elderly Muleba field in conjunction with the Elders, targeted liliadhimisha the World Elders Day on October 1st of 2012. – That day was a joy and comfort to the applause of the county's seven elders Muleba districts and communities living in areas of the county farm, grandchildren who cared for the elderly and the staff of the organization,...