Envaya

/MWELA/news: English

BaseEnglish
(image) – Kushoto ni mwenyekiti wa Mwela makao makuu fikiri mvugaro.katikati ni katibu wa mwela tawi la vuga sikudhani na kulia ni mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo wakiendesha mdahalo wa vijana(image) – left is the chairman of the headquarters Mwela think mvugaro.katika is branch secretary of Elah Vuga I think the right is the chairman of Elah branch of Vuga they run a youth debate
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) – mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo akikabidhi taalifa ya mwela kwa katibu wa Mbunge januari makamba.wakati alipokuja kutembelea Asasi za kirai na kujua mambo mbalimbali na shughuli zao(image) – chairman of Elah Vuga branch of logs was delivered taalifa pious person of the secretary of the MP Mwela January makamba.wakati he came to visit and know the civil society groups and their activitiesEdit
(image) – Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akiongea na wakazi kutoka wilaya ya Lushoto jimbo la Bumbuli katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo mkutano huo ulikuwa unajadili maendeleo ya jimbo la Bumbuli na kutambulisha shirika la maendeleo la Bumbuli, January Makamba amesema katika kipindi cha mwaka 2011-2012 kiwango cha elimu ya wilaya hiyo imekuwa chini na kusababisha vijana wengi katika mkoa wa Tanga kuwa na sifa ya kuuza chipsi...(Not translated)Edit
(image) – wa pili kutoka kushoto ni muhasibu wa mwela tawi la vuga ndugu Hassani Sheshe akiwa na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete(image) – Second from left is the branch of Elah muhasibu Vuga brother Hassan beauty with kajakaya President Mrisho Kikwete
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) – mwenyekiti wa mwela theatre group Fikiri mvugaro akionyesha ujumbe wa kuwataka wananchi kushiriki katika serikali za mita/vijiji ujumbe ambao ulikuwa katika kradi wa utawala bora uliofadhiliwa na Foundation for Civil Society na sasa mwela inauendeleza katika mikoa ya pwani na tanga kwa kuchapisha frana na kuzigawa kwa matawi yake tawi la mwela vuga na mwela pwani(image) – chairman of Elah theater group Imagine mvugaro showing messages urging citizens to participate in government m / villages message that was in kradi of governance funded by the Foundation for Civil Society and now Mwela inauendeleza in coastal regions and wander through publishing Franà and distribute to branches His branch of Elah Elah Vuga coastEdit
(image) – wanafunzi wa shule ya bazo kata ya vuga wilaya ya lushoto whasubui na mapema wakienda kuchukuwa kuni kwa matumizi ya chakula chao cha mchana(image) – school students to cut the Vuga bazo Lushoto district whasubui early they were going to take wood for use in food lunchEdit
Tangazo :Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mheshimiwa Januari Makamba anapenda kuwaalika wenyeji wa Jimbo la Bumbuli waishio Mkoa wa Dar-es-Salaam na Mkoa wa Pwani katika mkutano utakaojadili maandeleo ya Jimbo lao. Mkutano utafanyika tarehe 4/8/2012 katika ukumbi wa KARIMJEE jijini DSM kuanzia saa tatu hasubuhi hadi saa saba mchana tafadhali ukilipata tangazo ili mtaalifu na mwenzako – wako mwenyekiti wa mwela theatre group vuga ...(Not translated)Edit
(image) – mwenyeki wa mwela theatr group akiwa katika mgahawa akila chakula cha Asili ya Kisambaa unaojulikana kwa jina la bada kushoto ni muhasibu wa mwela Hassani sheshe(image) – mwenyeki of Elah theatr group in a restaurant having dinner at the origin of scattering is known by the name of Bada left is muhasibu of Elah Hassani beautyEdit
(image)(Not translated)Edit
(image) – katibu wa Mbunge akiwa na mwenyekiti wa mwela theatre vuga Salimina magogo(image) – MP's secretary and chairman of Elah at the theater Vuga pious person logsEdit