Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Habari wadau wa Maendeleo. Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimia na kuwatakia maandalizi ya sikukuu zijazo mbeleni,lakini pia kuhakikisha mnaipitia upya mipango kazi tayari kwa maboresho kwa mwaka mpya ujao.
Changamoto kubwa iliyoko mbele yetu ni upashanaji wa habari ambayo bado inasumbua sana na hatupashani habari kwa wakati lakini pia mwaka mpya unaokuja tujenge tabia ya kutembeleana na kubadilishana uzoefu Naomba niishie hapo Ramadhan Omary Mkiurugenzi Kijogoo Group for Community Development Tell 0754 948 767 & 0715 948 797 |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe