Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Hisia tumehudhuria workshop ya wadau wa VVU/UKIMWI iliyofanyika manispaa ya Iringa. Pamoja na mambo mengine tumeweza kubadilishana uzoefu na asasi nyingine. Ni fursa nzuri za kujifunza ambazo tunazihitaji sana! |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe