Envaya
/auvitatz/topic/123635/add_message
: English
Base
English
@Africa Upendo Group: habari za kazi naomba mnielekeze jinsi ya kufungua na kuunda kikundi cha vijana nina maono hayo jamani msaada tafadhali.
(Not translated)
Edit
Ni yaleyale AUVITA mmeyainisha hapa yanayoileta jamii ya vijana pamoja katika maendeleo yetu kama vijna. Mimi hapa ni mwenyekiti wa shirika jipya la vijana Tabora linaloitwa JUVITA naamini ushirikiano wetu uaweza kutokomeza kero na changamoto za maisha tulizo nazo.
(Not translated)
Edit
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 niliehitimu ya kidato cha nne tumeanzisha kikund cha vijana katika kata yetu ningependa kujua zaidi namna ya kukiinua na kupata maendeleo zaidi – ntashukuru kwa msaada wenu – kwa mawasiliaon ni 0685657781
(Not translated)
Edit
@Emmanuel Mihambo (Mwanza,Nyamagana): – Uko Nyamagana sehemu gani?
(Not translated)
Edit
@STEVEN SYLIVESTER DUGUZA (KAGERA): nashukuru naomba unitumie email yako tuwasiliane
(Not translated)
Edit
Nimependa sana nimepata kionjo nahtaji elimu zaidi kuhusu ufugaji kilimo na biashara
(Not translated)
Edit
@ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA): – Hongera kwa kazi na majukumu mliyochukua kwa Vijana nimependa idea zenu ila kuna vitu private napenda tushare pls nitafute makatanick87@gmail.com
(Not translated)
Edit
naomba tuwasiliane
(Not translated)
Edit
Nimepitia maandiko yote, kwa ujumla nimeona kuwa ipo haja ya kuelimisha vijana namna ya kujiunga kwa ajili ya uzalishaji. – Kwa walioko Mwanza nawakaribisha kituoni kwetu ili wakajifunze bure. Kituo chetu ni cha taasisi isiyokuwa ya kiserikali inayofahamika kama Mwasenda Development Intervention (MDI). Tupo Nyasaka Centre - karibu na Buzuruga stand.
(Not translated)
Edit
@Asasi ya ukombozi wa vijana AUVITA (via email):
(Not translated)
Edit
@Africa Upendo Group:
(Not translated)
Edit
KWANINI VIJANA WANAJIHUSISHA NA VITENDO VYA UOVU?
(Not translated)
Edit