Envaya
/KIUNGONET/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
(image) – mwandishi akichukua taarifa.
(Not translated)
Hindura
(image) – Ndugu Tabwe Hiza:Mwenyekiti wa KIUNGONET-akiwakaribisha wananchi kushiriki kikamilisha kutoa Kero zao kwa utulivu.
(Not translated)
Hindura
(image) – baadhi ya wananchi waliohudhuria Mdahalo wakiwa tayari kutoa kero zao.
(Not translated)
Hindura
(image) – Wakuu wa Idara kutoka Idara ya Maji(KUWASA)Kushoto-Josaphati Rwegasira na Meneja TANESCO-Bi Mama Mwingira wakiteta Jambo.
(Not translated)
Hindura
(image) – Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya,Bi Margereth Heguye mgeni Rasmi wa Mdahalo-Akiingia na Kukaribishwa ukumbini.
(Not translated)
Hindura
(image) – Ndugu Musa madua:akitoa mada,na kusisitiza kuwa Huduma za jamii ni mhimu sana kwa wananchi.
(Not translated)
Hindura
(image) – Ndugu,John B.Mosha-Mkurugenzi Mtendaji-KIUNGONET akimkaribisha Mgeni rasmi na Kutoa neno kwa Washiriki.Mosha amesisitiza wananchi kutumia Fursa ya Mdahalo kutoa kero zao kwa kuwa Ni Nadra viongozi kukutana na wananchi kwa lengo la kujibu Kero zao.
(Not translated)
Hindura
(image) – Mwakilishi wa Meneja Wa Tanesco-akijibu Kero za Wananchi.Katika Mdahalo uliofadhiliwa na The Foundation For civil society.
(Not translated)
Hindura
(image) – Rwegasira Josephati-Kaimu mkurugenziKUWASA-akijibu na Kufafanua Kero za maji zilizoelekezwa Idara ya maji.Bei ya Maji kupanda na Kukosekana kwa Bili za maji kulikuwa Gumzo ya Mdahalo.
(Not translated)
Hindura
(image) – Bwana Dotto Eliasi-Mwandishi wa habari TBC.Akiandika Taarifa.
(Not translated)
Hindura