Envaya

/CHAMAKIVU/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image) – PICHA JUU MH DIWANI KATA YA VUGA AKICHANGIA MADA KATIKA MAFUNZO YA UTAWALA BORA YANAYO ENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.(Not translated)Hindura
(image) – PICHA JUU: MRATIBU WA CHAMAKIVU DHAHABU JUMAA AKIWA KATIKA KIPINDI CHA REDIO HURUMA FM MKOANI TANGA AKIELEZEA KUHUSIANA NA MRADI WA UTAWALA BORA NA HAKI ZA KIRAIA UNAOENDEAHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA FCS.(Not translated)Hindura
(image) – PICHA JUU: WASHIRIKI WA WARSHA YA UTAWALA BORA ILIOFANYWA NA ASASIYA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY(Not translated)Hindura
Halmashauri za Wilaya ziweke bajeti kwa ajili ya mafunzo kwa watendaji Kata,Vijiji, na Halmashauri za Vijiji/Kamati za Vijiji Kuwepo na mafunzo ya mara kwa mara kwa watendaji na wenyekiti wa Vijiji/Vitongoji Viongozi wa Vijiji/Vitongoji wawe na dhana yakujitolea katika kujifunza na utafutaji wa taarifa mbalimbali, kuliko hali ya sasa ya kutanguliza...(Not translated)Hindura
(image) – PICHA JUU: MRATIBU WA CHAMAKIVU DHAHABU JUMAA AKIWA KATIKA KIPINDI CHA REDIO HURUMA FM MKOANI TANGA AKIELEZEA KUHUSIANA NA MRADI WA UTAWALA BORA NA HAKI ZA KIRAIA UNAOENDEAHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA FCS.(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
(image) – PICHA JUU MWEWEZESHAJI WA MRADI WA UTAWALA BORA ISRAEL ILUNDE AKITOA MADA KATIKA WARSHA ILIOFANYIKA VUGA NA KUSHIRIKISHA VIONGOZI NA WANAJAMII(Not translated)Hindura
(image) HIZI NI MOJA YA MADA ZILIZOTUMIKA KATIKA WARSHA YA UTAWALA BORA ILIOENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.(Not translated)Hindura
(image) – PICHA JUU MH DIWANI KATA YA MPONDE AKICHANGIA MADA KATIKA MAFUNZO YA UTAWALA BORA YANAYO ENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.(Not translated)Hindura