Envaya
/NYDT/news
: English
Base
English
(image) – Mabalozi wa utalii wakiwa ktk semina ya utalii jengo la Taarifa kwa watalii-Kigoma ujiji.
(Not translated)
Edit
(image) – Baadhi ya walimu wa manispaa kigoma ujiji-mabalozi wa utalii ktk semina.June,2012
(Not translated)
Edit
(image) – Mtaalamu wa magonjwa ya wanyama.Dr.Jane.akiwasilisha mada,juu ya uhifadhi wa mbuga za wanyama.Sokwe ni mhimu wahifadhiwe,maana wanaisha.amekaribisha watalii wanaopenda kuwaona sokwe,jane peaks,misitu,maporomoko ya kakombe na wanyama wengi hapa Gombe.Karibu sana wadau wetu,bei ni nafuu sana.
(Not translated)
Edit
(image) – wa kwanza ni mwlKinyange Focus wa Mlole sekondari akinukuu maelezo ya Dr.Jane-afisa uhifadhi Gombe.
(Not translated)
Edit
(image) – washiriki wa semina ya utalii na uhifadhi.
(Not translated)
Edit
(image) – Gombe national parks,in kigoma. we welcome all,and we NYDT we can connect our volunteers to this park.contact 0765794896(Ramadhan joel)
(Not translated)
Edit
(image) – mhifadhi mkuu(bi Noelia myonga.aliyesimama) akifungua semina ya uhifadhi na utalii kwa walimu wa kigoma ujiji.kulia na Susuma Kusekwa.Mfifadhi
(Not translated)
Edit
(image) – Max wabera,mwalimu wa Taaluma Katubuka sekondari.akifuatilia mafunzo.
(Not translated)
Edit
(image) – Mhifadhi mkuu(bi Noelia myonga) akitoa neno na kufungua mafunzo.
(Not translated)
Edit
(image) – Afisa utalii Hifadhi ya Gombe,bi Anifa.akiwa katika pozi wakati wa mafunzo.
(Not translated)
Edit