Envaya
/TASKINONDONI/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
MGAO WA MSAADA WA NGUO (image) TULIFADHILIWA NA TCRS
(Not translated)
Hindura
(image) – uongozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni unaomba msaada kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na albino achangie mchango wa hali na mali kwa ajili ya kuwezesha watoto albino wa wilaya ya kinondoni ambao wameshindwa kusomeshwa na wazazi wao ambao wengine hawana uwezo na wengine wamewatelekeza. kwahivyo chama kinaomba kisaidiwe kuwawezesha watoto hawa kupata elimu. kwa kuwa chama chenyewe hakina uwezo wa kuwasomesha kwakuwa hakina chanzo chochote...
(Not translated)
Hindura
UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI UNATOA SALAM ZAPOLE KWA NDUGU ZETU. WATANZANIA WENZETU WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA AJALI YA MELI NA KUMUOMBA MUNGU AWASAIDIE WALIOPO HOSPITALI WAWEZE KUPONA KWA HARAKA AMEN .
(Not translated)
Hindura
Ndugu Hussen wa envaya ametutembele kuona shughuli zetu
(Not translated)
Hindura
UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA KINONDONI UNAOMBA SERIKALI IENDELEE KUKEMEA SWALA LA MAUAJI YA ALBINO YA NAYO ENDELEA KUTOKEA NCHINI TUNAWAMBA WABUNGE, MAWAZIRI, VIONGOZI WA WADINI NA TAASISI ZAKUTETEA HAKI ZA BINAADAMU.
(Not translated)
Hindura