Brother Charles. – Tatizo si mawaziri wala CCM, tatizo ni kupotea kwa uzalendo na maadili ya Taifa. – Sisi sote kwa pamoja ni lazima tuangalie wapi tulipo angukia siyo wapi tulipo jikwaa. Wajibu wetu kama taifa ni kuhakikisha tunaukataa ukoloni wa watu weusi na kuyakataa mabaki ya ukoloni wa wazungu katika vichwa vyetu. Kwa pamoja tunaweza, timiza wajibu wako. – Dr Cliifford Majan – ABHASU.MBEYA. | Brother Charles. – The problem is not ministerial or CCM, the problem is the loss of patriotism and national values. – We're all together it should look at where we fall not where we stumble. Our responsibility as a nation is to make sure we reject colonial blacks and rejected the rest of the colony of whites in our heads. Together we can, fulfilling your responsibilities. – Dr. Cliifford jan – ABHASU.MBEYA. ... | Edit |