Envaya

/mycn/topic/123589/add_message: Kinyarwanda: dM1BOD4IDqBOTXtKnVkRdDAt:content

Base ((ururimi rutazwi)) Kinyarwanda
Mwamko wa wazazi juu ya swala la Elimu kwa watoto wao katika mwaka wa masomo2014 wazazi wameitikia wito wa swala la elimu kwa asilimia kubwa kwani wamekua wakiwaimiza watoto kwa wingi juu ya swala la masomo na hata jitihada ambao wazazi wamekua wakifanya kama vile kulipa karo za shule, kununua sare za shule nakadhalika hii inaonesha kuwa wazazi wametambua umuhimu wa watoto wao kupata elimu tena elimu iliyo bora na siyo bora elimu. Maoni kwa serikali juu ya changamoto ambazo shule za kata zinakutana nazo ? kwanza tunashukuru serikali kwa kuandaa shule hizi. Pili imefikia muda ambao serikali ianze kuandaa miundo mbinu bora kwa ajili ya wanafunzi ambao wamo katika shule hizi za kata.Miundombinu hizi ni kama vile mazingira bora ya kusomea,vitabu vya kujisomea,chakula bora kwa wanafunzi na walimu waliobora kwa ajili ya kuwasimamia wanafunzi ili waweze kufikia kiwango bora cha kufaulu. Nini cha kuwashauri wanafunzi wanaoanza mwaka wa masomo wa 2014 ? kikubwa sana cha kuwashauri wanafunzi wanaoanza mwaka wao wa masomo wa 2014 ni kua makini na mambo yaliyo ya muhimu hasa maswala ya kitaaluma.Endapo watatia msimamo endelevu watapata mafanikio mazuri . Pili wanafunzi wasijihusishe na mambo ambao yanaweza kuwapotezea muda wao wa kuandaa maisha yao ya baadae kama vile migomo isiyo ya lazima .Endapo wanafunzi watafanya hivyo basi watarajie mema katika mwaka huu wa masomo wa 2014.
(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe