serikali itimize ahadi yake ya kutoa posho ya kujikimu kwa wazee wote nchini kwani wote ni wastaafu wallitumikia taifa lao tena kwa uaminifu mkubwa,vijana wakiyaona maisha wanayoishi wazee sasa wanaweza hamasika kufanya vitendo vya rushwa na ufisadi kwa kisingizio cha kujianda na maisha ya uzee pia sheria atungwe | (Bila tafsiri) | Hariri |