Asili ((unknown language)) |
Kiswahili |
 | Haya ni majengo ya vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Ndonga iliyopo Kata ya Kihagara wilayani Nyasa katika mkoa wa Ruvuma, ambavyo viliezuliwa na kubomoka tangu 2011,wanafunzi wamekuwa wakisoma huku wakipigwa na jua na masomo husimama kipindi cha mvua |
 |
Mlundikano darasani, dawati linalopaswa kukaliwa na wanafunzi watatu ama wanne linatumiwa na wanafunzi watano. Hii ni Shule ya Msingi Ndonga iliyopo wilayani Nyasa |
 |
Hiki ni choo cha walimu kama kinavyoonyeshwa na mwalimu |
|
|