Fungua

/Brightlight/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Wanawarsha wakiwa na nyuso za furaha wakimsikiliza mwezeshaji katika ukumbi wa mikutano wa asasi ya Bright Light.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – The guests from UK Observing the children when they were reading a poem at Bright Light campus.(image) – wageni kutoka Uingereza Kuchunguza watoto wakati wao walikuwa kusoma shairi katika kampasi Bright Mwanga.Hariri
(image) – Mwezeshaji ndugu Kim Adiel Juan akitoa maelekezo amilifu jinsi ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light ili kuleta maendeleo endelevu kwa wanachama na jamii kwa ujumla.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwanawarsha ndugu Roggers William akisikiliza kwa makini maelekezo ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi yao.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Executive Director Mr. Mathew Daniel with Miss Kitty from UK in Bright Light's office(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwanawarsha bi Mariam Ngai akifuatilia kwa makini maelekezo ya mwezeshaji wakati wa mafunzo yakiendelea.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwanawarsha ndugu Mathew Daniel akitoa maoni wakati wa semina ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – These are nursery school pupils participating world's girl child celebration in Geita Region(image) – Hizi ni kitalu shule wanafunzi kushiriki msichana duniani mtoto sherehe katika Mkoa wa GeitaHariri
(image) – Executive Director with Miss Ruthie Thomas from UK who come for intership(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Children with mental retardation singing song at the apex of world's girl child.(Bila tafsiri)Hariri