Base (Swahili) | English |
---|---|
Hongereni sana mtandao wa vijana wa Temeke. Napenda kuchukua fursa hii kwa kuuomba uwongozi wa TEYODEN kushirikiana na sisi vijana wa Asasi ya MEECO ili tubadilishane uzoefu kwa lengo la kuboresha shughuli zetu zaidi pamoja na kuunda udugu na mshikamano |
(Not translated) |