Envaya
/pdpr/post/29
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Naomba kusaidiwa kupata shamba kwa ajili ya kilimo cha miti naomba msaada
(Bila tafsiri)
Hariri
Nahitaji shamba la miti huko mtalaamu,kwa ekari 10 itanighalimu kiasi gani cha pesa niweze kuandaa?
(Bila tafsiri)
Hariri
Je acre moja ya shamba bei gani kwa sasa
(Bila tafsiri)
Hariri
nimependa sana vipi Kwa mwaka huu ekar moja inapatikana Kwa sh ngapi na ni miti ya aina gani ni mizuri Kwa biashara ya mbao
(Bila tafsiri)
Hariri
Naomba nijiunge na uanachama nipo morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
Nahitaji kuwa mwanachama. Pia nahitaji shamba ya miti kama yapo yanauzwa.
(Bila tafsiri)
Hariri
Piga simu 0754397178, 0652556833 yapo
(Bila tafsiri)
Hariri
Naomba kujua kwa ekari kumi kwa sasa inaweza kunigarimu kiasi gani ili nijiandae!. Pia naomba kujua Physical address yenu ili niwatembelee, na ni lini mnakwepo ofisini ili nije
(Bila tafsiri)
Hariri
Habari za kazi, hongereni kwa kazi pia, naomba kuuliza huduma hii bado inapatikana, je kwa sasa mchanganuo wa ekari moja umefikia shiling ngapi – ahsante
(Bila tafsiri)
Hariri
UCHIMBAJI WA VISIMA
VISIMA KUKU NYUKI MITI
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
MIKOPO YA MASHINE
(Bila tafsiri)
Hariri
TECH PROJECTS
(Bila tafsiri)
Hariri
EGG INCUBATOR& mizinga
(Bila tafsiri)
Hariri
PANDA MITI YA MBAO KIBIASHARA UFAIDIKE: – Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
(Bila tafsiri)
Hariri