| Mnania njema ya kutusaidia sisi watoto wa masikini ili tusome maana hatujiwezi lakini siasa zina ingilia utendaji kazi wa shirika na yote kwa sababu wao watoto wao hawana shida wanasoma vizuri bila tabu yoyote wengine wapo nje ya nchi mimi naomba kama inawezekana anzeni kuwalipia ada watu maana tayari wapo vyuoni na hilo liserikali lao wanatunyima mikopo tuta somaje sasa?? acheni siasa kwenye maswala nyeti | (Bila tafsiri) | Hariri |