Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
¨ Ugumu wa kuwa pamoja na kusikiliza kwa makini wakati elimu itolewapo ya ukimwi. ¨ Upungufu wa mitaji katika vikundi tulivyo visajili vya kuweka akiba na mikopo. ¨ Watu waishio katika mazingila magumu wana hitaji zaidi kuliko uwezo wa shilika. ¨ Ukosefu wa wafadhiri kuweza kutowa mikopo ya vifaa vya ujenzi kwa wanachama 2500. ¨ Jumuiya pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya vifaa vya kiofisi kama vile kompyuta,printer,na mashine ya kutolea kopi,kwa sasa tuna tumia stational kwa kuandaa taratibu za kazi zake hivyo inakuwa ina risk kwa docment za jumuiya. ¨ Ukosefu wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya kuweza kuwagwia wanachama viwanja. Hata hivyo kikundi cha TWCHA kimejipanga kupanuwa huduma kwa jamii,mfano kwa sasa kikundi kimepanga kwenda kuendelea kutoa mafunzo ya ujasilia mali katika mji wa tunduma, kata zote za mji huo.Ili wana jamii waweze kuunda vikundi vya akiba na mikopo kwa mradi wa vsl. Hata hivyo kikundi cha TWCHA imejipanga kupanuwa huduma kwa jamii,mfano kwa sasa kikundi kimepanga kwenda kuendelea kutoa mafunzo ya ujasilia mali katika mji wa tunduma, kata zote za mji huo.Ili wana jamii waweze kuunda vikundi vya akiba na mikopo kwa mradi wa vsl. Hata hivyo kwa sasa elimu itaendelea kutolewa katika kata zote za isanga n.k. MATARAJIO.
MAONI. Serikari itoe kipaumbele kwa kusapoti na kusaidia mipango ambayo asasi yetu inafanya kwa niaba ya serikari yenyewe . KWA MFANO:- Kutoa mafungu maalum kwa jili ya kuongeza ufanisi zaidi ili kuweka kutimiza kauli mbiu ya hapa kazi tu kwa kila mtanzania inawezekana. HITIMISHO. Tunapenda kuishukuru serikari kwa kushilikiana nasi katika shughuli zetu zote ,kuanzia na :- Serikari kuu,Serikari za vi kijiji,Serikari za mitaa pamoja na wanachama wote wa The winamwanga culturel heritage association na wadau wote taasisi hii tunashukuru sana kwa niaba nasema asenteni, The winamwanga haina vyombo vya usafiri kama vile gari,pikipiki,baiskeli,mara nyingi wanajumuiya wanatumia kuwafikia wana jamii kwa kukodi usafiri kwa kutumia gharama zao wenyewe. Pamoja na mafanikio yote iliyopata haikuwahi kupata ufadhiri wa fedha au mkopo kutoka shilika lololte ama taasisi yoyote ya fedha.hivyo tunawaomba wageni wetu mtu saidie. Mpango huu unapendwa na wanajamii wengi,na pia unaungwa mkono na taasisi hata za serikari, Kwa hiyo,ukiendelezwa na kupewamsukumo utaweza kuwakombowa watu wengi walio maskini katika nchi yetu ya tanzania.Tunaiomba serikari ituongezee nguvu ili tuweze kuwafikia watu wengi kwa kuwapatia elimu ya kuweka na kukopa mtaa kwa mtaa,kata hadi kata. SISI KAMA TWCHA pamoja na changamoto zote tutaendelea kutoa huduma hii na elimu kwa wana jamii kuhakikisha wanachama wote waishi maisha bora hii ni kutokanana Dira ya jumuiya yetu.
ASANTENI NA KWA HERINI TUNAWATAKIA SAFARI NJEMA HUKO MUENDAKO KATIBU SAIDI GOFREY SIMKONDA THE WINAMWANGA. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe