Envaya
/freddy/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – vijana wakiwa katika mafunzo ya computer
(Bila tafsiri)
Hariri
shirika limeandika mradi wa PETS katika kata za bungu kolelo na kasanga ndani ya tarafa ya mvua wilaya ya morogoro vijijini – shirika la viyoso limeendesha mafunzo kwa vijana ndani ya manispaa na kuwajengea uwezo vijana wa kujitambua na kutambua fulsa zilizopo hili wajiletee maendeleo – shirika la viyoso limetoa michango ya ada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu ndani ya kata ya uwanja wa taifa - morogoro manispaa. – shirika la viyoso...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – kikundi cha ujasiliamali kikiwa na bidhaa yao kwenye picha ya pamoja na mkurugenzi wa viyoso bwn freddy
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – kikundi cha ujasiliamali kutoka kata ya u/taifa kilchoudwa baada ya mafunzo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – baadhi ya vijana wa manispaa ya morogoro wa kipatiwa mafunzo ya ujasiliamali
(Bila tafsiri)
Hariri