Envaya

/kiumaki/topic/123501: Kiswahili: dMxx8lMDOSrSAtO432MjElvo:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili

Ni muhimu wadau wote wa Mazingira kujikita katika ufugaji wa nyuki.Hii ni njia endelevuya kutunza misitu yetu,kwani katika kufuga nyuki pato la jamii litaongezeka na hivyo kupunguza au  kuondoa utumiaji ovyo wa rasiliali za misitu.Afya za jamii zitaimarika kwa matumizi ya asali.Kazi ya kutunza miti itavutia watu wengi,Tutakabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.Mungu pia alimtaka Adamu aitunze bustani ya Edeni, na hivyo kuharibu mazingira ni dhambi mbele za Mungu.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe