Base (Swahili) | English |
---|---|
Hivyo basi ni vyema kwa Tanzania kwa kutumia sera ya ukimwi ya mwaka 2010 ambayo iliyainisha makundi hatarishi wasichana /wanawake wanaofanya biashara ya ngono likiwa ni miongoni mwao,(key populations)ni vyema kuwasajili kihalali ili kazi zao zitambulike kisheria ili maambukizi mapya ya ukimwi yapungue. |
(Not translated) |