About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/golafoundation/post/420
: English
Base
English
Athanas magesa nashukuru kwa comment yako hatujaweza kutoa elimu hii kwa njia ya vijizuu kama unavyo sema ni kwasababu tunatoa elimu hii kwa vitendo hapa jijini arusha, ni ujenzi wa bei nafuu sana kwani unatumi cement kidogo na udongo wa kichuguu bila kumwagilia na pia hautumii mchanga wala cement wakati wa kujenga tofali zake hujengwa kwa kuungwa moja baada ya jingine. – Kama umevutiwa na ujenzi huu wasiliana nasisi tukupe maelezo zaidi najinsi gani utaipata elimu hii huko simiyu
(Not translated)
Edit
OK,najipanga nipate nikipta hela nitawaomba mje mnifyatulie.
(Not translated)
Edit
ujenzi wa bei nafuu lkn watu wengi hawaaujui na wala hawatambui unafuu wake ni upi kwa sabbu hamjatoa elimu kwa namna yyte ile kuwaelimisha wajenzi watalajiwa jitaidini kutoa elimu hata kwa njia ya vijizuu ili watu wte waijue
(Not translated)
Edit
Asante sana Athanas karibu gola foundation kwaajili ya huduma
(Not translated)
Edit
Muonekano wa picha zinazo onyesha matofali ya INTEROCK MACHINES zenye ujenzi wa bei nafuu sana ambazo kampuni ya GOLA FOUNDATION imefanikiwa kuwanazo na kuwekeza kwa baadhi maeneo mbali mbali. (image)
(Not translated)
Edit