Mwamko wa wazazi juu ya swala la Elimu kwa watoto wao katika mwaka wa masomo2014
wazazi wameitikia wito wa swala la elimu kwa asilimia kubwa kwani wamekua wakiwaimiza watoto kwa wingi juu ya swala la masomo na hata jitihada ambao wazazi wamekua wakifanya kama vile kulipa karo za shule, kununua sare za shule nakadhalika hii inaonesha kuwa wazazi wametambua umuhimu wa watoto wao kupata elimu tena elimu iliyo bora na siyo bora elimu.
Maoni kwa serikali juu ya changamoto ambazo shule za kata... | (Not translated) | Hindura |