Log in

/dhulusportsclub/news: English

BaseEnglish
Uongozi wa Dhulu Sports Club Unawakumbusha wale wote waliopatiwa barua za uwanachama wajitahidi kufanikisha uwanachama wao kwani siku za kulipia zinakaribia.... – Hivyo kutokana na wadau kuwa na shughuli nyingi za kiofisi,kishule na majukumu mengine ya kimaisha kuwabana hadi kushindwa kufika ofisini kwetu kwa sasa, Mchango wako unaweza utuma kwa njia ya M-PESA /TIGO-PESA kwenye namba za ofisi ambazo ni 0767260480 na 0658160480 nasi...Leadership Sports Club discovered process may increase all those who receive letters of membership striving to attain their membership since the days of paying close .... – Thus from the stakeholders have a busy office, school and other responsibilities of life shackling to fail to reach our office by now, Your contribution you can send through the M-PESA / Tigo-PESA in the number of offices that are 0767260480 and 0658160480 us We received ......
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) – Mwenyekiti wa Dhulu Sports Club akiwa shule ya Mwanza Sekondari jijini Mwanza akitoa elimu ya michezo na madawa ya kulevya....(image) – Chairman of the Sports Club discovered at secondary school in Mwanza Mwanza casting sports education and drugs ....Edit
(image) – Katika pozi Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bugarika iliyopo jijini Mwanza wakitafakari baada ya kupata semina ya Afya na michezo iliyotolewa na viongozi wa Dhulu Sports Club....(image) – In Mapozi secondary school students in Mwanza the existing Bugarika wondering after getting the Health and sports seminars given by leaders discovered Sports Club ....Edit
(image) – Kushoto wa kwanza na kulia wa kwanza ni mwenyekiti(HABIBU HASSAN) na katibu (DONALD) wa Dhulu Sports Club wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mkolani iliyopo jijini Mwanza wakiwa wamemaliza semina ya michezo na afya shuleni hapo....(image) – First left and first right of chairs (Habibu HASSAN) and secretary (DONALD) The Sports Club being discovered by some students of secondary schools in Mwanza existing Mkolani having completed a seminar on sports and health in school there ....Edit
(image) – Baadhi ya wanafunzi ya sekondari ya Bismack iliyopo jijini Mwanza wakisikiliza semina ya afya na michezo iliyo fanyika shuleni kwao....mbele ni Kiongozi wa club na Mwanafunzi mwenzao akiwasomea baadhi ya kanuni za afya...(image) – Some secondary pupils in Mwanza Bismack listening existing health seminars and games that take place in school for them .... Leader of the club in front of their classmates and he read some of the principles of health ...Edit
(image) – Viongozi wa Dhulu Sports Club wakitoa semina ya michezo na afya mbele ya wanafunzi wa sekondari ya Buhongwa iliyopo jijini mwanza...(image) – Sports Club leaders discovered they offered a seminar on sports and health to high school students in the beginning of the current Buhongwa ...Edit
Ndugu wadau...!! Uongoz wa Dhulu Sports Club unapenda kuwajuza habari zifuatazo..... – 1.Bado club inahitaji wanachama hivyo kwa mdau yeyote anayependa kujiunga nasi nafasi zipo wazi anakaribishwa.... – 2.kuanzia wiki ijayo uongoz wa club utaanza tembelea shule husika jijini Mwanza kwa ajiri ya kufanya semina na wanafunzi pamoja na upigaji picha kwa ajiri ya utengenezaji wa vitambulisho vyao. – 3.Kwa wale waliolipia ada ya uwanachama uongozi unawaomba waje...Brother partners ...!! The Sports Club discovered Uongoz you like kuwajuza following information ..... – 1.Bado club needs members so any member who is interested in joining us, there are clear opportunities is invited .... – 2.kuanzia uongoz the club next week will start visiting schools in Mwanza relevant for the function of holding seminars with students and employ photography for the manufacture of identification. – 3.Kwa those who pay membership...Edit
(image) – kiongozi wa Dhulu sports club (aliyeshika bahasha) akiwa na wanafunzi wa Mlimani Secondary Mwanza baada ya semina fupi ya afya juu ya dawa za kulevya na ukimwi waliyo ifanya hapo shuleni....(image) – discovered sports club leader (who was holding an envelope) having the students of Mount Secondary Mwanza after a brief seminar on health drugs and AIDS they made the school ....Edit
(image) – Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Islamiya wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Dhulu Sports Club....(image) – Some students of secondary schools Islamiya being in the picture with the leaders discovered Sports Club ....Edit