Envaya
/LINGONET/post/22916
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Asasi za kiraia zinatakiwa kuwa kioo cha jamii kwa kubuni na kufanya kazi zake bila urasimu na ukiritimba,jamii ina imani kubwa na waaAZAKi kuliko wana siasa hivyo ni wajibu wa wana harakati kujibu imani ya jamii kwa vitendo
(Bila tafsiri)
Hariri
Ahsante kwa maoni na tunaahidi kuyafanyia kazi
(Bila tafsiri)
Hariri
I appriciate LINGONET for your efforts but you have to ensure proper NGOS are observed for people to ask asistance for their social deveropment.
(Bila tafsiri)
Hariri
Hello to you! – Congratulation for your work. – Hi to Mr. Chilinga, Mr. Kawanga, Bonamax, Sina and all other.
(Bila tafsiri)
Hariri
kupitia mabraza ya wilaya ya tume ya mabdiliko ya katiba na yale ya AZAKi na makundi yanayofanana tunawahimiza wajumbe wote kutoa michango yao katika kupitia rasimu ya katibu ili kuiboresha na kubebe utaifa zaidi badala ya kuhakikisha maslahi ya kichama ,kidini au kikanda yanachukua nafasi ,hiinninchi yetu sote ikipata katiba mbovu ni sisi tutakaokuja kupata tabu na vizazi vyetu
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Email address: lingonetlindi@yahoo.co.uk Phone number: +255 23 220 2630,0784860372 Street address: JENGO LA PRIDE,BARABARA YA JAMHURI,JIRANI NA BENKI YA CRDB,CHUMBA NAMBA 8&9 Mailing...
(Bila tafsiri)
Hariri