Shindano la vipeperushi, posta, na vijitabu juu ya elimu ya afya kwa jamii – Je umewahi kutengeneza au kuchapisha kipeperushi, brocha, posta au kijitabu katika Kiswahili chenye taarifa za elimu ya afya kwa jamii? Tafadhali shirikiana nasi nyenzo hizo! – Tuma machapisho yako katika Kiswahili ifikapo Agosti 30 na utaigizwa kwenye shindano na kuwania: – seti nzima ya miongozo ya kiafya ya Hesperian katika Kiingereza( ukiwemo Mahali... | (Not translated) | Hindura |