Kwasasa tunafanya workshop ya mafunzo ya ufuasi sahihi wa dawa za kupunguza makali ya VVU na Ukimwi pamoja na lishe. – Workshop hii tunawahusisha wale wanaoishsi na VVU na wale wanao watunza wanao tumia dawa hizo. – tuna mitandao mitatu katika wilaya za Temeke Ilala na Kinodoni. haya mafunzo yanaendeshwa katika wilaya zote hizo tatu. | For now, we are doing a training workshop for a correct medicine regimen for decreasing the severity of HIV / AIDS together with nutrition. – In this workshop we will involve people living with HIV and those who care for those who use these medicines. – We have three networks in the Temeke, Ilala, and Kinodoni district s. These trainings are being continued in all three of these districts. | Edit |