Envaya

/VOYOHEDE/news: English

BaseEnglish
(image) – Mhasibu na Mratibu wa mradi wa UMESE wakifuatilia kwa makini mafunzo ya usimamizi wa mradi kule Dodoma(Not translated)Edit
Siku ya vijana duniani, serikali imeainisha mikakati na sera za kuwakwamua vijana? – Nilikuwa kimya nikisikiliza na kufuatilia kwa makini matamko au hutuba zenye mantiki kwa vijana wa Tanzania kutoka serikalini. Nilianza kwa kuingia mtandaoni labda kunachochote nikakaa karibu na redio na kila wakati wa habari nilibadilisha kituo mara hiki mara kile ilimladi nisikie hotuba ya kiongozi yeyote wa serikali akitamka jambo kwa vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa lolote...(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
VOYOHEDE inapeda kuwapa taarifa wanaharakati vijana na vijana wote hususani wanaoishi mkoani MTWARA kuwa kutakuwa na kambi ya viana ya KITAIFA itakayofanyika jijini Dar es salaam katika kampasi ya chuo kikuu cha Dar es salaam kuanzia tarehe 29 july 2013. – Kambi hiyo inalengo la kubadilisha fikra za vijana kuhusu ajira na maisha, kambi hiyo imefadhiliwa na kuandaliwa na International Youth Fellowship(IYF) gharama za kuchangia ni Tsh 10000 tu kwa kila kijana, gharama hiyo...(Not translated)Edit
UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFUNZO YA JKT KWA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA NI KUWEKA MATABAKA. – Itakumbukwa kuwa ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni kubwa sana,na miongoni mwao ni vijana, wakati serikali inakabiliwa na changamoto ya kuwawezesha vijana kiuchumi kwa kuwahakikishia elimu ilio bora limekuja wazo la kuwapeleka vijana JKT kwa mujibu wa sheria, vijana hawa ni wale tu waliofaulu kidato cha sita wakapata daraja la kwanza na la pili na wale...(Not translated)Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
OctoberOctoberEdit
MayMayEdit
AugustAugustEdit
SeptemberSeptemberEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
SwahiliSwahiliEdit
(unknown language)(unknown language)Edit
Main MenuMain MenuEdit
PreviousPreviousEdit