Base (Swahili) | English |
---|---|
Asasi ya Muwape ni Chama cha Ushirika cha kuweka na kukopa. Asasi hii ilianzishwa munamo mwaka 2010 mwezi wa pili kikiwa na wanachama 35, kilianza kutoa mikopo kwa wanachama 34 kwa kuanzia na kima cha Tsh 200,000 na hadi leo hii mwezi wa June 2012 Asasi ina wanachama 250 na inatoa mikopo hadikiwango cha Tsh 3,000,000. Mikopo inatolewa kwa wajasiria mali wadogo wadogo kwa maeneo ya Kilimo,Uvuvi,Biashara na Viwanda. Asasi hii inatoa huduma za Kibenki zikiwemo za kufungua akaunti za Amana kwa wanachama na hata watu ambao siowanachama.vile vile wateja ambao siowanachama pia wapata fursa ya Mikopo. |
Muwape organization is the Association of Saving and Credit Cooperative. This organization was founded In December 2010 the second month comprising 35 members, began providing loans to members 34 to begin with and the rate of Tsh 200,000 and to this day the month of June 2012 organization has 250 members and gives credit to dikiwango of Tsh 3,000,000. Credit is given for property wajasiria small areas of Agriculture, Fisheries, Trade and Industry. This organization provides services to the Bank, including deposit accounts open to members and even people who do such owanachama.vile customers who do owanachama also find opportunities Credit. |
Translation History
|