elimu zaidi iendelee kutolewa kwa wanakamati ili wajue kazi na majukumu yao ili utendaji wao wa kazi uwe mzuri – wanakamati wapewe semina angalau mara moja kwa kila mwezi ili wakumbushwe majukumu yao | further education continue to be provided to committee members know their duties and responsibilities to its performance going – committee members should be given a workshop at least once every month to be reminded of their responsibilities | Edit |