tarehe 25/04/2010 – kulitokea msakowa wafanya biashara ndogo ndogo katika manispaa ya dodoma .Hii ilikuwa imelengwa kwa watu wote ambao wanafanya biashara katika kituo cha mabasi ya usafirishaji mjini (Daladala) – Miongoni mwa waathirika katika zoezi hili walikuwepo wanachama wa kikundi chetu ambao wanafanya biashara ya samaki,nguo,viatu na mapambo ya nyumbani. – Waachama wetu wamepoteza baadhi ya mali zao ambazo zimekuwa zikiwasaidia katika kujikimu kimaisha na kuwapatia mahitaji yao... | on 4/25/2010,, there was a small business msakowa in Dodoma Municipality. imelengwa This was all the people who are doing business in center city bus transport (bus): Among the victims were present in the exercise group members our business who do fish, clothes, shoes and home decoration.,, our membership have lost some of their properties which have been zikiwasaidia in subsistence living by providing all their needs including nutrition . – 27/04/2010,, Wanaachama They walked the... | Edit |