(image) – Mkurugenzi wa Asasi ya SWOLO akiongea na wazee wa kata ya Talatala wilayani Kyela kuhusu huduma zitolewazo na Asasi hiyo ikiwa ni pamoja na ushawishi na utetezi wao ili waweze kuishi maisha ya amani na furaha. | (image) – Director of Organisation of SWOLO speaking to the elders of the county of Talatala Kyela district about services offered by this organization, including lobbying and advocacy so they can live a life of peace and joy. | Edit |