Kushiriki katika kampeni mbalimbali ikiwemo: – 1) Kupambana na maambukizi mapya ya HIV/AIDS. – 2) Kuhamasisha utunzaji wa mazingira. – 3) Kutoa elimu ya utungaji na utumiaji fasaha wa Lugha ya kiswahili. – 4) Kufanya mashindano ya utungaji na usomaji wa mashairi na ngonjera pia michezo ya kuigiza. – 5) kampeni za kiafya kama kifua kikuu, kipindupindu na malaria. | (Bila tafsiri) | Hariri |