Shirika letu linfanya shughuli ziuatazo: – 1. kuibua vikundi vya ujasiriamali kulingana na rasilimali walizo nazo. – 2.Kutoa elimu ya ujasiriamali ya nanma ya kutumia rasilimali zinazowazunguka – 3.kutembelea makundi ya uzalishaji mali kila mwezi ili kufuatilia maendeleo yao, changamoto wanazokutana nazo na jinsi wavyozikabili. – 4. Kutoa eimu juu ya kujikinga na maambukizi ya VVU na kuacha mitandao ya mapenzi na ngono... | (Not translated) | Edit |