Kituo hiki kilianzishwa tarehe 16/3/2010 na kupata usaji wake tarehe 13/1/2012(CAP.318 R.E.2002) Lengo ni kuwaunganisha Waislam wote kuwa kitu kimoja kwa kila jambo linalogusa Waislamu na Uislamu na kuweza kushiriki katika maendeleo ya kukuza Elimu ya Akhera,Elimu ya Duniani na kukuza uchumi katika kuinua kipato na kushiriki katika shughuli za kijamii kwa kushirikiana waslamu wote bila... | (Bila tafsiri) | Hariri |