Save lives organization Trust Fund Tanzania ni taasisi isiyo ya kiserikali, kidini wala si ya mtu binafsi. Ni taasisi ya kiraia ambayo ilianzishwa kwa ajili ya jamii nzima. – Kama lilivyo jina lake, taasisi hii ilianzishwa mwaka 2005 na waanzilishi wa taasisi hii ambao ni Mchungaji Jubeck T. Mapassa wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini pamoja na Mama Victoria Mbembela kwa lengo la kuokoa maisha ya watanzania maskini walio wengi. – waanzilishi wa taasisi hii waliona... | Save Lives in Tanzania Organization Trust Fund is a non-governmental organizations, religious or not the individual. It is a civil institution that was established for the whole community . – As does his name, this institution was founded in 2005 by the founders of this institution who is pastor Jubeck T. Mapassa Moravian Church Southern Province of Tanzania, with mother Victoria Mbembela aimed at saving the lives of the majority of poor Tanzanians . – the founders of this... | Edit |