Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi - Tawi la Lindi au kwa lugha ya Kiingezreza Tanzania Albino Society (TAS) - Tawi la Lindi imetekeleza mradi wa Kujenga Uwezo na Uelewa kwa Watu wenye Ulemavu kuhusu Sera ya Taifa ya Walemavu kwa watu wenye ulemavu na wadau wengine kutoka katika Kata 5 za Manispaa ya Lindi. Kata hizo ni; Mingoyo, Ng'apa, Makonde, Ndoro na Msinjahili. Mradi umetekelezwa kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi, 2011. Mradi umeweza kuwafikia watu wenye ulemavu... | Institute for People with Disabilities of the Skin - A branch of Lindi or language Kiingezreza Tanzania Albino Society (TAS) - Branch of Lindi has also implemented a project of Capacity Building and Awareness for Persons with Disabilities in the National Policy on Disability for people with disabilities and other stakeholders from five municipal wards of Lindi. County are: Mingoyo, Ng'apa, Makonde, and Msinjahili Ndoro. The project has been underway for three months from January to March... | Edit |