Taasisi iliainishwa kufuatia wazo miongoni mwa wanachama watano; John Castor Mbonde, Patrick John Ndomba, Anna William Mingwe, Marco Merkion Ndimbo na Aufi Nyoni Ndangwala tuliokutana rasmi tarehe 30 mei 2014 la kusaidia kuchangia katika maendeleo ya wanajamii kwa ujumla na hivyo kuazimia kuunda Taasisi yao Isiyo ya Kiserikali (NGO) na kuamua kuanza mchakato wa kuandika katiba kufikia mwishoni mwa mwaka 2014 na kuuzindua rasmi umoja huu ukiwa na wanachama... | (Not translated) | Edit |